14.05.2017: MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ALIVYOOMBEWA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI

Mtoto huyu aliweza kufika katika madhabahu ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kuombewa kwaajili ya maandalizi ya mitihani yake ya kidato cha nne.