MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

30.04.2017: HIVI NDIVYO TAMASHA LA MAOMBI LILIVYOFANYIKA JUMAPILI KATIKA KANISA LA MALIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare alivyoongoza ibada ya Tamasha la Maombi iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili. Endelea kufuatilia post zetu, tunakuandalia mahuibiri ya siku hiyo. Mungu akubariki sana.

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiongoza tamasha la maombi

 Waumini wakiombea kazi za mikono yao. Wageni kutoka Afrika Kusini ( wawili kutoka kushoto) nao walishiriki tamasha hili