RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA 6: Msiba wa Taifa, maelfu walivyoaga miili 32 Arusha



Miili ya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa leo May 8, 2017 ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu aliwaongoza watanzania kuiaga miili hiyo katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Kutoka katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid millardayo.comimezipata picha za baadhi ya matukio uwanjani hapo.

Watu wa Huduma ya Kwanza wakimpatia huduma mmoja wa wazazi walioondokewa na watoto wao, Arusha

Majeneza yaliyohifadhi miili ya marehemu wakati wa tukio la kuwaga, Arusha

Mzazi akipatiwa msaada wa huduma ya kwanza

Waombolezaji wakiwa ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha



Unavyoonekana Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ukiwa umejaa waombolezaji