Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » Sababu za kwanini Wanandoa wengi hufanana


Sanga Rulea 3:22 PM 0


Staa wa 50 shades of grey Benedict Cumberbatch na Mke wake

Ni miongoni mwa swali wanalojiuliza watu wengi kwanini Wanandoa wengi hufanana? sasa leo nimekuletea majibu ambapo Wanasayansi wa chuo kikuu Boston Marekaniwamefanya uchunguzi na kugundua sababu kubwa ya wanandoa kufanana ni kuoa watu wanaoshea historia ya undugu mfano watu wa kabila moja.

Wanasayansi hao wamesema kitendo cha watu kwenda kuoa au kuolewa kwenye miji au vijiji walikotokea kuna changia Wanandoa wengi kujikuta wana sura zinazofanana kutokana na makabila mengi kuwa na sifa moja inayofanana mfano pua nyembaba, pua kubwa, macho madogo n.k

Sababu nyingine waliyoitoa ya kwanini Wanandoa wengine sio kabila moja lakini bado wanafanana, wanasema kwa kawaida ubongo wa binadamu huwa na hali ya kumuamini mtu ambaye anavitu vinavyoendana na yeye na hali hii hupelekea watu kuoa au kuolewa na watu wanaofana vitu.

Akielezea sababu ya kwanini wanandoa ambao walikua hawafanani hapo kabla kuanza kufanana baada ya miaka mingi kwenye ndoa, Mwanasaikolojia Robert Zajonc alisema jinsi wanandoa wanavyoishi inapelekea kufanana mfano Mwanaume anaye kasirika sana hutengeza mikunjo kwenye uso wake na Mwanaume wa aina hii humkasirisha mke wake pia ambaye naye atatengeza mikunjo ya uso hivyo kujikuta wamefanana.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS