RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

VIDEO: Taarifa ya Habari TBC 1- Hivi Ndivyo Wanafunzi 32 Walivyofariki Dunia

ARUSHA: Wanafunzi 29 na walimu wao 2 pamoja na dereva wa wamefariki dunia baada ya basi aina ya Coaster waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia mtaroni katika eneo la Mlima Rhotia wilayani Karatu Arusha wakati wakielekea kwenye ziara ya kimasomo.