MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YAWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

Waziri wa Wizara ya Ardhi; Mhe. William Lukuvi na Naibu wake; Mhe. Angeline Mabula katika picha ya pamoja na Balozi wa Denmark, nchini Tanzania; Einar H. Jensen na Mshauri wa Programu ya kuwezesha umilikishaji Ardhi (LTSP); Suleiman Dabbas na watendaji wakuu wa Wizara – bungeni, Dodoma baada tu ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2017/18.
Naibu Katibu Mkuu; Dkt. Moses Kusiluka na baadhi ya watendaji wa Wizara wakifurahia jambo nje ya bunge, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
Kaimu Kamishna wa Ardhi; Mary Makondo na watendaji wakuu wengine wa Wizara wakiteta nje ya bunge, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ardhi, Ezekiel Mpanda akiwa nje ya bunge na timu yake, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
Watendaji wa Wizara ya Ardhi, wakiendelea na kazi ya kujibu hoja zilizowasilishwa bungeni