MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

NABII TB JOSHUA ATOA MSAADA TANZANIA KATIKA KITUO CHA KULEA WATOTO WENYE UHITAJI CHA SIFA GROUP FOUNDATION


Mkurugenzi wa kituo hicho Sifa John kupitia facebook akaunti yake amesema, “Wapendwa, Prophet T.B. Joshua ametoa Msaada leo 12.06.2017 katika kituo cha Sifa Group Foundation katika kuazimisha Miaka Yake 54 Ya kuzaliwa kwake. Emmanuel TV na T.B. Joshua Team walifika kituo na zawadi mbalimbali. Oh! Utukufu ni kwako Mungu wangu uliedhihirisha kuwa umeniita kwa huduma hii na sikujiita. Happy birthday Dad Prophot T .B Joshuaaaaaaaaaaaa!! .Mungu Akutunze Sanaa. Rafiki zangu tamka Neno kwa mtumishi Wa Mungu.”