SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

02.07.2017: MH. BISHOP DR. GERUDE RWAKATARE ALIVYOWATAMBULISHA WAINJILISTI WAPYA ALIOWATEUA KUFANYA NAYE KAZI YA MUNGU

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 02.07.2017 aliweza kuwatambulisha tena wainjilist wapya zaidi ya 65 aliwateua kwaajili ya kutangaza injili mitaani na kulisaidia kanisa kufanya kazi ya Mungu. Baadhi ya wawakilishi wa Wainjilisti walimshukuru Mungu kupata nafasi hiyo na pia walimshukuru Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa kuwaamini.


0

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017