MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

05.07.2017: BISHOP DUNSTAN MABOYA AWAOMBEA WATU WENYE MAGONJWA MBALIMBALI NA WAPOKEA UPONYAJI KATIKA SEMINA - MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Watu walijitoa kutoa sadaka zao kwaajili wagonjwa mbalimbali kama wanavyooshwa kwenye picha hapo chini. Bishop Dunstan Maboya alipata maono haya ya kuwaombea waliotoa sadaka zao kwaajili ya wagonjwa siku ya Jumatano 05.07.2017 katika semina ya MID YEAR CROSS OVER inayoendelea katika kanisa la Mlima wa Moto Mikcheni “B” kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku. Wagonjwa baada ya kuombewa walishuhudia kwa vinywa vyao kuwa Yesu amewaponya baada ya kuombewa. Sadaka hiyo aliita CHAPATI. Siku ya Jumapili 09.07.2017 semina itahitimishwa, na Jumapili itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Usikose, BWANA ana mpango na wewe. AMINI Yesu atakugusa na wewe....

Bishop Dunstan Maboya akiwa na wagonjwa


 Bisho Dunstan Maboya akiongea na wagonjwa
 Waliojitolea kutoa sadaka kwaajili ya wagonjwa

 Dada aliyepona kansa ya matiti0