SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

16.07.2017: ALIYEPONA AJALI YA PIKIPIKI AMSHUKURU MUNGU KWA KUMUOKOA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Siku ya Jumapili 16.07.2017 katika iabada ya KUPELEKA MASHITAKA YETU KWA MUNGU iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", muumini wa kanisa hili aliweza kumshukuru Mungu kwa kumuokoa katika ajali mbaya. Alisema kwa kuwepo leo ni neema ya Mungu. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" waliweza kumuombea baada ya shuhuda. Anahitaji maombi yenu kwani bado ana maumivu makali sana.





0

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017