MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

AJALI: BASI LA UPENDO LAUA WATU WAWILI

Taarifa nyingine iliyonifikia mchana huu wa July 6, 2017 ni pamoja na hii ya Watu wawili kufariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa kwenye ajali ya basi la Kampuni ya Upendo lililopinduka katika Wilaya ya Mbarali.

Nitaendelea kukuletea taarifa zaidi kadri zinavyonifikia, endelea kukaa karibu na mimi kupitia Instagram, Twitter na YouTube kwa jina la millardayo.
0