RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

Gama Mwasumbi: UTHAMANI WA MUNGU MAISHANI MWAKO

Uthamani wa Mungu maishani mwako hutegemea sana na Ukubwa wake kwako.Huwezi ukamwabudu Mungu kwa roho na kweli zaidi ya Kiwango uchomjua.Tamani sana kumjua Mungu kwa kujitathimi mwenyewe kuliko kuangalia ya wengine.Ukitaka Mungu ajidhihirishe kwako tofauti na umuonanvyo leo,basi badilisha jinsi ya umuonavyo kwa wengine na tamani sana awe wa aina unayoitaka Maishani mwako.
Jijengee Maisha Dhabihu ya sifa mbele zake kila iitwapo leo.Mungu habembelezi mwanadamu kumwabudu,bali anataka umwabudu(HE DEMANDS WORSHIP) kwasababu ndiye aliyekutengeneza(Kukuumba) Kutoka 9:1.
Baraka zetu zote zimefungamanishwa katika utii wa Wa kile Mungu anatuagiza kukifanya.
#NawatakiaJmosiNjema


0