Unataka Mungu akufanyie nini katika maisha yako, vyovyote unavyo taka anaweza kuwa hivyo kwako,jumatano ijayo tunaenda kumuita katika ibada vile tunataka ajidhihirishe kwetu,na leo isipite ita jina lake (JEHOVA mokeddishkem ) nae atadhihirika kama Mungu utoshelevu wako !!akufanyae kuwa mtakatifu, HALELUYAAH, COMMENT NENO JEHOVAH MOKEDDISHKEM kisha ingia katika maombi usifie utoshelevu wake kwako, hakika utatoka na ushuhuda. Barikiwa
Asanteni saana @mariedo_boutiquetz kwa kwa kunivalisha vizuri, glory to Jesus.
Please visit them for your own beautiful look.
Comments