Msanii wa Bongo Movie PASTOR MYAMBA afungua kanisa lake DSM

Kila mtu ana ndoto ya kuitimiza katika maisha yake ambapo hujiwekea muda wa kuitimiza ndoto hiyo na kumfanya awe na furaha pindi atimizapo bila kujali imedumu kwa muda gani.

Mmoja kati ya watu waliotimiza ndoto za muda mrefu ni Pastor Myamba ambaye alikuwa na ndoto ya kuanzisha Kanisa lake ambayo imetimia baada ya miaka 10…nimekuwekea dakika 10 hapa zitazame!!!

0