SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

PICHA 15: Familia yanunua Jumba Tsh. 90.2b kwa ajili ya kuishi Watumishi

Familia ya Kifalme ya Qatar imedaiwa kununua jumba la tatu la kifahari katika Jiji la New York, Marekani ambalo litakuwa linatumika kwa ajili ya kuishi watumishi wa familia hiyo.
Jumba hilo limenunuliwa kutoka kwa muasisi wa Island Capital Group, BillionaireAndrew Farkas, kwa mujibu wa Curbed ambapo Qatar ililipa Dollar 41m sawa na Tsh. 90.2b kununua jumba hilo lililopo 12 E 73rd Street licha ya awali kuuzwa kwa Dollar 42.5m zaidi ya Tsh. 92.5b lilipoingizwa sokoni kwa mara ya kwanza June 2016.RELATED ITEMS
0

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017