MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

Pst John Daimon: USIKATE TAMAA

Yakobo alipobarikiwa na Isaka babaye alikaa miaka kumi na nne kuanza kuziona baraka za Bwana maishani mwake.
Umebarikiwa na Bwana lakini bado hujaanza kuziona baraka zako zikidhihirika katika maisha yako.

Usikate tamaa
Naachia na ipokee neema ya kuziona haraka na kwa wepesi baraka zako ulizopewa na Mungu sasa
Kwa speed ya neema ya ajabu
Mchumba umuone
Masomo ufaulu
Biashara ufanikiwe
Cheo chako kipande
Heshima yako izidi
Kibali cha kupendwa kiongezeke
Huduma yako ikue
Pokea katika jina la Yesu Kristo

@eloi center
Pastor Jon Daimon


0