RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Rais Magufuli aridhia ombi la kustaafu Jaji wa Mahakama Kuu Prof. Ruhangisa



Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Prof. John Eudes Ruhangisa.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo July 6, 2017 imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Prof. John Eudes Ruhangisa kuanzia July 6, 2017.

Prof. John Eudes Ruhangisa alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga.


Comments