RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UBORESHAJI WA BANDARI DAR (PICHAZ + VIDEO)






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird alipokuwa akihutubia.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi cha maelezo ya Mradi wa Uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani, (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird pamoja na viongozi wengine katika eneo la bandari jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro (kushoto) na Mrisho Mpoto, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.



Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa wakiimba wimbo wa Amka Tufanye Kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU




Comments