SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

RATIBA YA MAZISHI YA LINAH HARRISON MWAKYEMBERatiba ya mazishi ya Linah Harrison Mwakyembe imetolewa na familia ambapo inaonesha kuwa Jumanne, Julai 18 shughuli za mazishi zinatarajiwa kuanza rasmi asubuhi nyumbani kwa Dk. Harrison Mwakyembe, Kunduchi Beach na marehemu ataagwa katika kanisa la Usharika wa KKKT Kunduchi jijini Dar es salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana. Marehemu anatarajiwa kusafirishwa kwa ndege hadi mkoaniMbeya ambako anatarajiwa kuzikwa Jumatano Julai 19, 2017.


0

SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017