Tina Mtua: NI JINSI GANI MABAYA YASIWEZE KUKUKUTA?

Mabaya hayatakupata wewe, wala tauni haitakaribia hema yako, kwa kuwa umekaza kunipenda, nitakuokoa na kumweka palipo juu. Mpendwa wangu kunafaida katika kumpenda mungu. Hata kama unapita kwenye changamoto kubwa kiasi gani usiache kumpenda Yesu maana atakuvusha katika hilo unalopitia. Zaburi 91:10,14. Usiku mwema mpendwa wangu.

0