MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

30.07.2017: MCH. CATHERINE KUTOKA MAREKANI ALIVYOHUBIRI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI

Tukiwa tupo katika maandalizi ya somo la Mch. Catherine kutoka Marekani aliyeweza kupata kibali na Mungu kuhubiri katika madhabahu ya Mungu ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 30.07.2017, tumeona ni vyema ukaangalia hata picha akihubiri katika ibada ya "KUUNGANISHA NYUMBA ZETU NA MADHABAHU YA MUNGU". 

Pia tungependa kukukaribisha katika ibada ya Jumapili hii Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi 8 mchana. Uasafir ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola..
Mch. Catherine kutoka Marekani


Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare
 Mch. Elizabeth Lucas


0