Askofu Gwajima kuleta private jet mpya Tanzania.


"I will soon bring this Jet to Tanzania for purpose of advertising the kingdom of God! Its the hour of life and Resurrection in the World!" Maneno hayo ameyasema Askofu Gwajima kupitia page yake Facebook. 

Kwa kiswahili
"Hivi karibuni nileta jet hii Tanzania kwa lengo la kuutangaza ufalme wa Mungu, Ni wakati wa ufufuo na uzima dunia" 
0