MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

Esther Bernard Malikia: TANGAZO MUHIMU KWA MAWAKALA WOTE WA INUKA MWANAMKE


Napenda kukushukuru kila Mtanzania ambaye umeungana nami na Tweve Hezron kupata nakala ya kitabu cha INUKA MWANAMKE lakini nimepata malalamiko kwa wakala mmoja kuwa mzigo haujamfikia! Jamani mawakala muwe makini Kuna watu wameanza kuchakachua na kuiba vitabu na kuvipiga bei juu kwa juu hii itatuletea maelewano ambayo si mazuri kati yetu nanyi nakuomba sana unapotaka kutumiwa mzigo hakikisha UNAUFATILIA na unaamini Hilo gari, pia hakikisha kitabu kina alama ambayo utajua ni original pale utakapotupigia simu tutakuleza tafadhali KUWENI MAKINI!! Kuna watu wa sio wazalendo wameanza kazi!!! 

ZINGATIA HILI USITAPELIWE
vitabu vinatumwa mikoani kuanzia mwezi 8/2017 kwa namba hii 0743 826171 Kwa dar bado vinapatikana sinza palestina!
0