MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA MH. HARRISON MWAKYEMBE AKIONGEA NA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA

Mh. Harrison Mwakyembe siku ya Jumatano 10.08.2017 aliweza kukutana na waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kwaajili ya kuweza kusikiliza kero za waimbaji wanazokumbana nazo na kujaribu kuzitatua zile zinazowezekana. Mkutano huu ulidhaminiwa na PRAISE POWER RADIO 99.3FM ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" chini ya Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Mazungumzo yote yalirushwa LIVE na Praise Power Radio kwaajili ya wale waliokosa kufika katika mkutano huo.

Endelea kufuatilia post zetu kujua ni kitu gani kilijadiliwa siku hiyo. Mungu akubariki sana
Christina Shusho
  Cosmos Chidumule

 Masanja Mkandamizaji Meneja wa kituo cha redio Praise Power radio 99.3FM Bwana George Mpella
Dr. Mackenzi Kinondoni Revival Kwaya
Dr. Mackezi pamoja na wahudhuriaji wakimuombea Mh. harrison Mwakyembe

 Mzee Kitime Mch. Dkt. Ndalima

 Mh. Harrison Mwakyembe
0