MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

RAIS MAGUFULI AGOMA KUKAA MADARAKANI MIAKA 20

Rais John Magufuli akiwahutubia wananchi.

Rais John Magufuli amesema hawezi kukaa madarakani kwa miaka 20 kwa kuwa anaheshimu Katiba na kwamba kazi ya urais ni ngumu.

Magufuli amesema hayo leo Jumatatu, Agosti 7 katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga alipozungumza na wananchi na kuzindua stendi ya kisasa ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya siku tano mkoani humo.

Kauli hiyo ya Rais imekuja baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani ‘Prof. Maji Marefu’ (CCM) kusema kwa kuwa Magufuli anafanya kazi nzuri na ingekuwa vizuri akiongezewa hata miaka 20.

“Nadhani Profesa Maji Marefu unataka niishi miaka 20 zaidi na siyo kuwa rais kwa miaka 20, sitafanya hivyo kwa kuwa naheshimu Katiba,” alisema Magufuli.

VIDEO: Rais Magufuli Agoma Kukaa Madarakani Miaka 20

0