RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NELSON MANZI WA AMBASSADOR OF CHRIST AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA EUNICE IRAKIZA


Nelson Manzi muimbaji wa kwaya ya muda mrefu ya Ambassadors of Christ ya nchini Rwanda afunga pingu za maisha katika kanisa la Kigali English Sda Church na mpenzi wake Eunice Irakiza.
"Niko nae kwenye mahusiano kwa sababu nyingi, nasema tabia yake, haiba yake na pia Eunice ni muimbaji na sauti yake ni nzuri namshukuru Mungu kwani ndicho niliomba kwa muda mrefu" Alisema Nelson alipohojiwa na tovuti moja wapo ya nchini Rwanda.












Comments