RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

19.11.2017: BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKIONGOZA MAOMBI YA KUVIKWA KIBALI

Katika ibada ya KUVIKWA KIBALI iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 19.11.2017, waumini na wageni walifika katika kanisa hili waliweza kufanya maombi maalum ya kuvikwa kibali katika familia zao, ndoa zao, maofisi yao, kazi zao, masomo yao na kila eneo ambalo walihitaji kibali cha Mungu kitende kazi. maombi haya yaliongozwa na Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare.

Kupitia maombi tunaamini Mungu anakwenda KUVIKA KIBALI katika maisha ya watu, na baadhi yao wameshavikwa kwa jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyekosa maombi haya unayo nafasi siku ya Jumapili ambapo ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 1 jioni.

 Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare










Comments