RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: Kanisa la Gwajima labomolewa usiku usiku




Bado zoezi la Bomoa Bomoa linaendelea kuchukua headlines jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache tu zimepita toka tushuhudie zoezi la ubomoaji wa jengo la makao makuu ya Tanesco likiendelea, AyoTV imezinasa picha za kanisa la Askofu Gwajima likinbomolewa kupisha ujenzi wa barabara.



Comments