MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

11.02.2018: WAUMINI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WALIVYOSHIRIKI CHAKULA CHA PAMOJA KATIKA IBADA YA SUNDAY TO REMEMBER 2018

Hivi ndivyo waumini na wageni walioshiriki ibada ya BIG SUNDAY TO REMEMBER iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walivyohitimisha kwa kupata chakula cha pamoja kilichoandaliwa na kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaam Tanzania.

Kumbuka ibada hii ni ibada maalum ambayo hufanyika mara moja tu kwa mwaka na hukusanya makanisa yote ya Mlima wa Moto Tanzania na kuabudu mahali pamoja. Ibada hii huanza saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni. Ni siku ambayo watu humwabudu Mungu, hupeleka maombi yao kwa Mungu, humsifu Mungu na kutoa shukrani kwake na ni siku ya kufanya maombi maalum.


Wewe ambaye ulikosa ibada hii tunakualika katika ibada ya Jumapili hii hapa Mlima wa Moto Mikocheni "B" ambayo huanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Usafiri wa kufika kanisa ni bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbu na Mwenge kwenye mataa.

Ibada hii ni ya kwa mataifa yote, dini zote, makabila yote, rangi zote. Karibuni sana.


 0