Paul Clement kwa wale wasiomjua ni mwimbaji wa band ya Glorious Worship Team ambayo zamani ilikuwa inaitwa Glorious Celebration. Na ndani ya band hiyo ameimba wimbo mmoja unaitwa " Unaweza Yesu" ambao unapendwa sana na watu wengi.
Tamasha lake litafanyika katika kanisa la VCT lililoko Mbezi Beach barabara ya Kawe hapa jijini Dar es Salama Tanzania kwa Mchungaji Nkone. Tamasha litaanza saa 9:00 mchana. Manakaribishwa sana kumuunga mkono mtumishi wa Mungu Paul Clement katika tamasha lake la kwanza la uzinduzi wa albamu yake ya kwanza.
Tamasha lake litafanyika katika siku ya kipekee ya tarehe 28.04.2013 ambayo itakuwa baraka kwako na itakuwa ni siku ya kwanza kwa mtumishi huyu kuandika historia ya maisha yake kwa kufanya tamasha hili.
Kuja kwako kutamtia moyo na atajiona kumbe kuna wat wanapenda huduma yake ambayo Mungu ameiweka ndani yake.
Kama Mtanzania na mwana Afrika Mashariki..Njoo tumwabudu Mungu kwa kupitia uimbaji kutoka kwa mtumishi wako Paul Clemennt>
Barikiwa

CD Cover
Unaweza kuwasiliana naye kwa simu
+255 652 178070
Comments