EXCLUSISVE: MWINJILISTI FAITH KUTOKA NCHINI KENYA SIKU YA LEO AMEACHIA NYIMBO ZAKE KATIKA YOUTUBE (ALBAMU YA JINA LA YESU)
Baada ya kusikia kilio cha walio wengi duniani wakitaka nyimbo zake kusikika duniani kote, hatimaye mwinjilisti Faith Mbatha kutoka Kenya siku ya leo ameamua kuziweka nyimbo zake zote kutoka katika albamu ya "JINA LA YESU" katika YOUTUBE. Kazi nzima ya kuziweka nyimbo hizi zimefanywa na RUMAFRICA (+255 715 851 523).
Mwinjilisti Faith Mbatha
Kwahiyo sasa unaweza kupata ujumbe wa Mungu kupitia kwa Mwinjilisti bila ya tatizo lolote. Ukitaka kusikia nyimbo hizi basi bonyeza jina lake hili: FAITH MBATHA na unaweza kuwasiliana naye kwa namba za simu zifuatazo
USHAURI WA BURE: Ili kazi yako ionekane kimataifa basi jitahidi sana kuziweka katika mitandao na kama utahitaji huduma hii basi wasiliana na Rumafrica kwa simu hii +255 715 851 523 au B/ Pepe: rumatz2012@gmail.com. Blogu yetu www.rumaafrica.blogspot.com

Comments