MASANJA MKANDAMIZAJI KUTUMIA GARI LA THAMANI NI MUUIJIZA KWAKE, ASEMA
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’
Comments