KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA on February 28, 2015 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI KUWAJIA HIVI PUNDE. Comments
Comments