MCHUNGAJI ASHINDA MOCHWARI AKISUBIRI MKEWE AFUFUKE on March 30, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mchungaji Githumba kutoka Kenya jana alishinda katika chumba cha kuhifadhi maiti akisubiri mke wake aliyefariki Jumapili afufuke siku ya 3.