TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

SANGA'S FAMILY

FAMILIA YA KAKA YANGU 
MCHUNGAJI BURTON SANGA
 Jannet Sanga mtoto wa nne
Kulia ni mke wa kaka yangu Mchungaji Burtoni Sanga akifuatiwa na mtoto wake wa kwanza,Judith Sanga, wakiwa Coco beach Dar es Salaam
 Rulea sanga kushoto nikiwa na shemeji yangu pamoja na mtoto wa kaka yangu Burton sanga maeneo ya Coco Beach Dar
 Jessica Sanga akiwa katika pozi
 Judith Sanga akiwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam 6 Sept 2012

 Judith Sanga akiwa na mdogo wake Jannet Sanga
Judith Sanga kushoto akiwa ndani ya uwanja wa Taifa wakati wa mashindano ya riadha
 Jannet Sanga akiwa nyumbani
 Wakiwa uwanja wa Taifa
Mapumziko
 Shemeji yangu akiwa na wanae Bahari ya Hindi Coco Beach Dar

----------------------------------------------------


FURAHA SANGA AMSHUKURU MUNGU KWA KUMUWEZESHA KUMALIZA MASOMO YAKE UDOM. UNIVERSITY STUDENT CHRISTINA FELLOWSHIP (USCF) WALIANDAA HAFLA YA KUANGANA.
Baada ya kipindi chake kuisha cha kuishi katika mazingira ya UDOM, wanafunzi walifanya mahafali ya kuagana na maisha ya chuo na kuanza maisha mengine mapya. USCF ni kikundi kinachojumuisha wanafunzi wanaomwamini Mungu. USCF kimekusanya madhehebu yote ya kikristo isipokuwa Roman Katoliki na Wasabato. Lengo lao kuu ni kumtangaza kristo na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu wakati wote.

Furaha akiongea na blogger, Rulea Sanga nyumbani kwake alisema, Mungu amekuwa msaada mkubwa sana katika masomo yake na kumtia nguvu alipokuwa anapitia magumu. Furaha ni mtoto wa marehemu Amir Sanga aliyefariki mwaka jana wakati Furaha akiwa mwaka wa pili, anasema kilikuwa kipindi kigumu sana kwake, lakini Mungu alionekana kumtetea.

Amewashukuru wenzake ambao walishirikiana nao katika masomo na kutiana moyo na pia aliwashukuru sana ndugu zake wote kwa upendo walionao.

Pia alimshukuru Baba yake mdogo, Rulea Sanga kwa mchango wake wa mawazo na kumfariji wakati wa msiba wa baba yake uliotokea Iringa Mafinga.
Furaha Sanga
 Furaha kulia akiwa na marafiki zake
 Wanachuo
 Furaha akiwa na ndugu zake ambao wako mwaka wa pili UDOM


 Zawadi kutoka kwa ndugu yake
MSIBA WA NDUGU YANGU NAZARETH LUVANDA ULIOTOKEA FEB. 25 2013 DAR ES SALAAM NA KUZIKWA MAKETE
 Wa pili kutoka kulia ni mtoto wa marehemu


0