RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

FUNGUA MWAKA NA FRIENDS ON FRIDAY-3-February-2012

Friends On Friday ijumaa hii kama kawaida kuchukua mkondo wake pale Uwanja wa Nyumbani Tamal Hotel, shughuli nzima ya Friends On Friday inaanza saa 12:30 jioni mpaka saa 4:00 Usiku.

Safari hii Friends On Friday itafanyika Tamal Hotel, Chakula Cha Usiku kutolewa Bureeeee, Live Performance  Pastor Stevene Wambura, Amani Kapama na Miriam Lukindo watafanya live show.

James Mwang'amba atatoa Tips za Kufungua Mwaka,

Power Of Networking kwa vitendo itafanywa wa Seth Katende.

"Tunafungua Mwaka na Burudani, Chakula, Talks, Participation and Networking"

Kwa shilingi 15,000 tu.
Mtupio FRee Style.
                                             Kamati Ikichekecha Ubongo
 Papaa, Mc Luvanda, Protace and Prosper ndani ya Kikao
Protace, Mc Luvanda, Prosper, Criss Mauki and Uncle Jimmy

Comments