RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION


CHAMA CHA ADC CHA "HAMAD RASHID" CHAANZISHWA RASMI
Mwenyekiti wa muda wa Chama kipya cha siasa cha Alliance For Democratic Change (ADC), Said Miraji (kushoto), akimkabidhi rasimu ya katiba ya chama hicho, Mwangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Galasia Chawene, wakipokwenda kuomba usajili wa muda Dar es Salaam jana.Katikati ni Katibu wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu.
Akina dada wafuasi wa chama hicho wakiimba kwa furaha

Comments