FASHION SHOW.
"Muuliza swali sio mjiga"
.....Nataka nikuulize wewe..haya mavazi yanaweza kuvaliwa mbele za watu na yakampa Mungu utukufu....????
Unaweza kutoa wazo lako katika email yangu rumatz2011@yahoo.com au ingia katika chumba chetu cha kuchati upande wa kushoto wa blogu hii. Mungu akubariki....
Ni mimi kijana wenu kutoka kijiji cha Mtili A Mufindi, Rulea Sanga.










Comments