RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KAMA DUNIA KUNA MAKAO KAMA HAYA, Je, MBINGUNI?
Haya ni maeneo ya Mbezi Beach, Dar es Salaam-Tanzania
Wewe kama huna hele, wapo wenye fedha...na kama wewe unalala njaa wapo ambao hawajui njaa maisha yao yote....Lakini la msingi ninaloliona ni kufuarahia raha za duniani na kufurahia raha za mbinguni...Unaweza kuwa na furaha hapa duniani kwa kutesa na majengo ya kifahari huku ukiwanyonya wananchi kwa kuwaibia na mwisho wa siku ukaishia pabaya huko mbinguni. Na wewe mpendwa unayempenda Yesu, nakuomba ufurahie raha za duniani kwa kuwa na mijengo ya maana ambayo unaweza kuipata kwa kufanya kazi kwa bidii na usisubirie muujiza rafiki yangu..Asiye fanya kazi na asile....Twende tukaone mijengo ya maana hapa mjini...








Comments