RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUNGU HUKUPA MAARIFA HATA KAMA HUKUBAHATIKA KWENDA SHULE. NA MUNGU HUKUPA UWEZO WA KUFANYA JAMBO AMBALO HUKUTEGEMEA KULIFANYA

Hawa ndugu niliwakuta jana asubuhi nikitokea Sinza mida ya asubuhi, wakiahangaika kupata sehemu ya kujificha wakati mvua inanyesha..iliniuma.....Ninachotaka kutoka kwako ni jinsi gani ya kuwasaidia hawa ndugu ambao ni walemavu? Wapo wengi wenye shida mbalimbali...Unapobahatika kuwa na kiasi cha ziada cha fedha...jaribu kuwagaiwia haya jamaa zetu...Mungu akubariki.

Walemavu wa miguu wakijitahidi kuweka sawa mahali pa kujificha na mvua maeneo ya mbuyuni, Dar es Salaam

Mwndishi wenu..Rulea Sanga

Comments