RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MVUA DAR YASABABISHA FOLENI YA MAGARI
Leo asubuhi kumekuwa na mvua katika jiji letu la Dar es Salaam, ambapo ilisababisha foleni ya magari kuwa kubwa sana karibu pande zote za jiji. 

Katika tembeatembea yangu nilibahatika kupiga picha mbili tatu ili wewe mdau wangu uliye nje ya bongo ufaidike, na haya ndiyo yaliyoajili:


Comments