RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTANGAZAJI WA PRAISE POWER, ERICK BRIGHTON  KUACHANA  NA UBACHELA MEI 2012

Ikiwa ni siku ya kwanza kuanza kikao cha harusi ya mtumishi wetu Brighton katika hotel ya The Atriums Sinza, wadau na wapenzi wa Erick Brighton wametokea kufurahishwa sana na uamuzi wa brother wetu.

Kikao cha kwanza tayari kimeshafanyika na kikao cha pili kitafanyika siku ya Jumatatu mida ya saa moja Mwenge. 

Kamati ya maandalizi inakukaribisha sana kum-support Bwana Erick na kama wewe ni msiikilizaji wa Praise Power usikose. Kumbuka Brighton amefanyika baraka sana kwa wanakesha na Praise Power. Hapo chini kuna namba za simu kwaajili ya kujua tutakapokuwepo katika kikao cha pili. Mungu akubariki
Kikao kikiendelea.Mtangazaji na wa Praise Power (kushoto) George na Mwenyekiti wa Kikao Noel Tenga.Katibu wa Kamati Listar akiandika AgendaMr $ Mrs Joshua KisakaMr Erick Brighton Bwana Harusi Mtarajiwa akifurai kwa Tabasamu.Kulia ni Bonifas Magupa Mtangazaji wa Chanel ten,Erick Martin na Victor Harron wa Praise Power Radio.Mtangazaji wa Praise Power ,Erick Brighton anatarajia kupokea jiko lake mwezi wa Mei  2012

Comments