BALOZI WA PAPA HAPA NCHINI ATOA SAKRAMENT YA KIPAIMARA KWA MARA YA KWANZA KATIKA KANISA LA MT PETRO OSYTEBABAY
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla akitoa sakramenti ya kipaimara kwa Aivan Catrece wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es Salaam, Jumla ya watoto 72 walipata ekaristi takatifu ya kipaimara.Wapili kulia ni Paroko wa kanisa hilo Padri Joseph Mosha.
Mmoja wa watoto waliopata sakramenti ya kipaimara katika kanisa la Mtakatifu Petroa Aivan Catrece akionyesha kipaji chake cha kupiga ngoma wakati wa Ibada hiyo.
Baadhi ya watoto kati ya 72 waliopata sakramenti ya kipaimara wakionyesha vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Padilla, wakati wa ibada hiyo iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Osytarabay jijini Dar es Salaam.
Comments