MUNGU ANAPENDA UPENDO-RAIS JK AMJULIA HALI BIBI KIKONGWE MWENYE UMRI WA MIAKA 85 KATIKA KIJIJI CHA MSOGA
Inaleta matumaini na faraja hasa pale unapotembelewa na mtu nyumbani kwako. JK Kikwete alijua hilo na akaona ni vizuri kukaa na huyu Bibi na kubadilishana mawazo. Je, umefanya kwa wazee wangapi toka unazaliwa?

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Bibi Antonia Mbagalla (85)
katika kijiji cha Msoga, kata ya Chalinze Wilayani Bagamoyo wakati wa
mapumziko ya mwisho wa wiki jana (Jumapili).Picha na Freddy Maro-IKULU
Comments