RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

AFLEWO NAIROBI NI NEXT LEVEL


Kwa wale waliofatilia kwenye Mtandano wa ntv.com event ya Aflewo Nairobi Watakubaliana na Mimi kuwa Aflewo ni Next Level.

Siku Ya Ijumaa Ya Tarehe 21 August, 2012 Katika Jiji na la Nairobi, Big Event Ya Aflewo ilifanyika na kuhudhuriwa na Maelfu ya Watu.


Event hiyo ya AFLEWO (Africa Lets Worship) ambayo ilifanyika Dar-es-Salaam Mwanzoni Mwa Mwaka huu na Kisha katika jiji la Kigari Rwanda, Wiki Ijayo itafanyika katika Jiji La Mombasa.


Aflewo ni Usiku wa Kusifu na Kuabudu na Maombi.

 Sehemu Ya Umati Wa Watu Waliohudhuria Aflewo Nairobi.
 Wazee Wa Kazi The Voice From Tanzania Wakifanya mambo Jukwaani.
 Watu Wakifurahia The Voice Jukwaani.
 Aflewo Team Kutoka Tanzania Ikiwa Jukwaani
 Mwenyekiti wa Aflewo Tanzania Geofrey Obiero akiwa ndani ya Aflewo Nairobi
 Hii nahisi Ilikuwa Ruka Kimasai....John Kagaruki akiwa hewani na Pastor Safari Wakati wa Kuongoza Praise Ndani Ya Aflewo Nairobi.
 Praise Team Ya Tanzania Wakiwa Jukwaani.
 Kila Nikimuona John Kagaruku akiwa katika Muonekano Huu basi nakumbuka Sifa Zivume.
 Mdada Huyu Mlemavu akiteta Jambo ndani ya Mkesha Wa Aflewo.
 Obedi Kiongozi wa The Voice akaonesha One Love From Tanzania.
 Ni Wakati Sasa wa Watanzania Ku Support Events zetu hasa Makampuni Ya Kikristo.
 Watu wakipokea anointing 
 Twende Kazi
 Dhuuu
 The Praise Team
 Watu Wakienda Sawa Usiku wa Aflewo
 Bila Shaka Ayalikuwa mambo yetu Yaleeeeee
The Voice Wakienda Sawa.

Source: Sam Sasali

Comments