RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BETRICE WA FOREVER LIVING PRODUCT AMKARIBISHA RAFIKI YAKE KANISANI KWANZA KABLA YA MAFUNDISHO YA FLP KUANZA

Rulea Sanga wa Ruma Africa, jana aliakwa katika mafundisho ya bidhaa za Forever Living Product katika ukumbi wa Mayr Fair jijini Dar es Salaam. Mkutano huu uliwakusanya watu mbalimbali, watumiaji na wauzaji wa bidhaa za FLP. Kulikuwa na kutiana moyo na kuonyesha faida za utumiaji wa bidhaa hizo. Watu waliofanikiwa katika biashara ya FLP walitoa njia walizozitumia mpaka sasa wa mamilionea.

Kitu kilichonifurahisha blogger wenu, ni pale mwenyeji wangu Betrice alipowambia kuwa hakuweza kufika katika mafundisho yaliyokuwa yanaendelea asubuhi ya Jumapili kwasababu alikuwa kanisani na mgeni wake kutoka Nigeria ambaye alimshawishi kujiunga na FLP, alisema rafiki yake huyo walikutana naye kanisani, kwahiyo na yeye aliona ni vizuri kwenda kanisani kwanza kabla ya kufika katika mafundisho ya FLP. Betrice alisema amefanikiwa sana na  biashara ya FLP na kipato chake ni kikubwa ukifananisha alipokuwa akifanya kazi UK. Betrice professional ni Engineer.

Na haya ndio aliyoyasema:
Rulea katika mafundisho ya utumiaji na faida za FLP

Betrice kulia akielezea mafanikio aliyopata kwa kutumia bidhaa za FLP
MC na ni mmoja wa watu waliofanikiwa sana na biasha ya FLP

Betrice wa pili kutoka kulia akifanya mawasiliano
Wahudhuriaji
MC Luvanda aliyevalia miwani akiwa katika mawsiliano huku akipata vitu kutoka kwa wazungumzaji wa FLP




Comments