Hayati Kardinali Laurean Rugambwa enzi za uhai wake. |
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya wafanyabiashara katika manispaa
ya Bukoba, kutengeneza fulana zenye nembo ya kanisa hilo na picha ya
kardinali Rugambwa, ambazo zinauzwa kwa sh.12,000 bila ridhaa ya uongozi
wa kanisa hilo.
Akizungumza na gazeti majira katibu wa kanisa katoliki jimbo la Bukoba,
Padri Deodatus Rwehumbiza, alisema waumini ambao watanunua fulana
zilizotengenezwa na wafanyabiashara hao bila baraka za kanisa hilo,
watakuwa wamefanya makosa......
Limeandika Gazeti Majira.
Comments