RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MKESHA ULIOFANYIKA KATIKA KANISA LA FULL VICTORY GOSPEL CHURCH IJUMAA ILIYOPITA

Katika mkesha huu kulikuwa na sifa na kuabudu, maombezi na Nrno la Mungu. Pia kulikuwa na mafundisho ya ujasiliamali. Waumini walijifunza jinsi ya kutunza pesa na kujitambua kutoka kwa walimu wa ujasiliamali ambao ni Sam Sasali na Prosper, hawa ndio waliowalisha waumini wa kanisa hilo chakula cha ujasiliamali. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Steven Wambura alihubiri na kutoa ushuhuda wake, na jinsi gani Mungu amefanya kumiliki Studio yake hapa jijini Dar es Salaam.

Ijumaa hii pia kutakuwa na mkesha katika kanisa hilo, kwahiyo kama ulikosa mkesha uliopita, unakaribishwa mkesha wa wiki hii.

Rumafrica ilibahatika kuhudhuria katika mkesha huu ili kujipatia muujiza kutoka kwa Mungu kwa kupitia watumishi wake. Tuone baadhi ya picha na Clips



Mwalimu wa Ujasiliamali, Sam Sasali
Waumini

Elice Wangwe ambaye ni mke wa mwimbaji wa nyimbo za Injili Lyanga akiwauliza baadhi ya maswali kwa waumini wa kanisa lake kuhusu masomo ya ujasiliamali yaliyotolewa na walimu wao

PICHA ZINGINE TUNAZIWEKA

Comments