RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AGNESS HATUNAE TENA DUNIA.

Kwaya ya Uinjilisti  Kanisa  la KKKT Kariakoo,wanasikitika kutangaza msiba wa muimbaji mwenzao Bi Agnes Yamo, kilichotokea katikta hospital ya Lugalo asubuhi ya leo saa 2:30
Agnes alizaliwa mwaka 1978 na mwaka 2012 ndio mwisho wa ndoto zake za kuwepo duniani.
Taratibu zote za msiba mtajulishwa kwa kupitia vyombo mbalimbali na hasa blogu hii ikishirikiana na blogu ya Madam Ruth na Chriss (www.madamruti.blogspot.com).
Bwana alito na Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe..Amina.

Comments