RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UFAHAMU WANGU NI MUHIMU KWAKO

UFAHAMU WANGU NI MUHIMU KWAKO ni kipengelee ambacho wewe mdau utakuwa unatoa mawazo yako juu ya swali ambalo tutakuwa tunakuuliza. Tutakurekodi katika kideo, ili watu waweze kukusikia LIVE ukichangia mawazo yako, ambayo RumAfrica inaamini yatakuwa msaada kwa watu wengine na wengi maisha yao ya kiimani yatabadilika.

Swali tutakalo anza nalo kwa sasa ni hili.

KWANINI MAKANISANI WATU WANAOKOKA SIKU ZA JUMAPILI NI WENGI SANA LAKINI KANISA HALIONGEZEKI?
Fredy Msungu ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania na mbeba maono ya "Pure Mission" alijaribu kufunguka na kueleza kile yeye anafahamu juu ya swali letu. Mazungomzo haya yalifanyika katika ofisi za RumAfrica sinza Afrikasana jijini Dar es Salaam.




Comments